KUMEKUCHA IKULU RAIS MWINYI KIAPO WAKUU WA MIKOA, WAKUU WILAYA NA NAIBU KATIBU KATIBU

Описание к видео KUMEKUCHA IKULU RAIS MWINYI KIAPO WAKUU WA MIKOA, WAKUU WILAYA NA NAIBU KATIBU KATIBU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amewaàpisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni.

Hafla hiyo ya Uapisho Imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

Waloapishwa ni Rashid Hadid Rashid Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,

Mattar Zahor Masoud Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Sadifa Juma khamis Mkuuu wa Wilaya ya Maghàribi A.

Rashid Simai Msaraka Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Abdalla Rashid Ali ,Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba.

Khatibu Juma Mjaja ,Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba.

Hamad Omar Bakari ,Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

Mgeni Khatibu Yahya, Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba.

Othman Ali Maulid ,Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja.

Cassian Gallos Nyimbo ,Mkuu wa Wilaya ya Kati .

Juma Sururu Juma ,Mkuu wa Wilaya ya Kaskazi B Unguja.

Hawah Ibrahim Bae Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano ,Wizara ya Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla , Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said ,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mohd Said Dimwa, Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке