Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua.

  • MKULIMA SMART TV
  • 2021-02-02
  • 34905
KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua.
  • ok logo

Скачать KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua.

KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI.Jifunze jinsi ya kulima tikiti maji hatua kwa hatua.



KILIMO CHA MATIKITI MAJI HATUA YA KWANZA
Hakisha nafasi kati mche na mche unaweka 1m kwa kupanda mbegu 2 au 60sm kwa kupanda mbegu 1.Pandia mbolea ya DAP(yaramila OTESHA) Gramu 10 kupanda bila kuweka samadi
Yara mila OTESHA Gram 5 pamoja na samadi kwa shina / shina moja tenganisha kwa kuweka tabaka la udongo usio na mbolea kwa sentimita mbili kati ya mbegu na udongo uliyochanywa na mbolea epuka mbegu kugusana na mbolea inaweza kuungua na kushindwa kuota kama utatumia samadi ya ng’ombe weka viganja vitabu vya mikono yako miwili zingatia matumizi ya samadi ya ngombe sio vizur kutumia kwenye mazao ya muda mfupi ili kuepuka minyoo.

#mkulimasmart
#shambadarasa
HATUA YA PILI(A) KUWEKA MBOLEA YA KUKUZIA KATIKA UDONGO
NPK YARA MILA WINNER UA NPK 17:17:17
Weka mbolea ya kukuzia ya YARAMILA WINNER (NPK 17:17:17)wiki tatu baada ya mche kuota au mche wenye majani matatu(3)baada ya utokaji .Weka mbolea ya ujazo wa kifuniko cha maji ya uhai /kijiko kimoja kidogo cha chai sawa na gramu tano katika kila shina la mche mmoja baada ya siku 10 utaweka mbolea tena kwa ajili ya kukuzia.Weka mbolea kwa umbali wa kiasi cha sentimita 5 kutoka mzunguko wa shina alafu fukia zingatia kuweka mbolea hii mapema kabla ya kutoa maua


HATUA YA PILI (B) KUWEKA MBOLEA YA KUKUZIA KUPITIA MAJANI(BUSTA)
Tracel Bz/NPK+TE foliar aau mbolea yoyote ya maji au unga yenye ratio ya npk 21:21:21 –pulizia mbolea hii kwa miche ikiwa na majani matatu hadi manne ya kuchipua.Changanya Tracel BZ au ya Npk 19:19:19 maganda matatu ya kibiriti katika maji ya lita 15 hadi 20 puliza juu ya majani ya mche pamoja na udongo
Rudia tena baada ya siku kumi na nne (14) zingatia kutumia mbolea hii kabla ya maua kutoka.Mbolea hii ni mtiririko wa mbolea ya kukuzia sambamba na nitrobar(CAN) zingatie kutumia kabla ya maua
kilimo cha bamia na nyanya chungu
nyanya chungu in english
kilimo cha nyanya chungu jamii forum
nyanya chungu benefits
ngogwe in english
kilimo cha matikiti
kilimo cha pilipili mwendokasi
kilimo cha hoho
kilimo cha mbogamboga nyumbani
kilimo cha chinese na spinach pdf
kilimo cha matembele
aina za matuta
aina za mbogamboga
kilimo cha spinachi
kilimo cha mbogamboga in english
kilimo cha sukuma wiki


HATUA YA TATU KUWEKA MBOLEA YA UZALISHAJI WA MATUNDA YA MATIKITI
Maua na matunda yatakapotunga wiki ya sita na nane weka mbolea ya nitrabor au mbolea ya can gram10 kwa kifuniko cha maji ya uhai kama umepanda miche miwili weka VIFUNIKO 2
Weka mbolea au umbali wa nchi 6 mzunguko wa shina unaweza kuongeza gram 5 hadi 10 baada ya siku ya 21 kama kuna viashirio vya upungufu wa rutuba shambani kwa kuangalia ubora matunda na muonekano wa majani ya matikiti


HATUA YA 4 KUWEKA MBOLEA YA UZALISHAJI WA MATUNDA YA MATIKITI
Baada ya matunda kutoka na kufikia kiasi cha kichwa cha mototo au ngumi utaweka mchanganyiko wa mbolea mbili NPK yaramila wina(npk 17:17:17) na Mbolea ya Nitrobar(can) kila baada ya siku 7 utakuwa unaweka hadi kuvuna kiwango cha gram 20 sawa na vizibo viwili vya maji ya kuchwa chupa ya maji ya uhai


JINSI YA KUPRUNI MATIKITI
Baada ya matunda yako kukua na kufikia kiwango cha kiganja cha mkono wako unatakiwa kufanya pruni ili kupata matunda makubwa na yenye ubora mzuri hakikisha unakuwa makini kwenye kufanya pruni hasa unatakiwa kupunguza matunda na kuacha matunda matatu kwa kila mche au mawili ila hakikisha kwanza umeweka mitego kwa ajili ya melonfly
Shina moja la mche wa matikiti hutoa matawi mengi kuanzia matatu na kuendelea hakikisha kwamba unapofanya pruni unatoa na matawi ambayo hayana matunda na yale yenye matunda kuyakatia vikonyo ili yasiendee ili tunda liweze kunenepa vizur kwa ushaur zaidi tupigie

No2: KUZIDHIBITI APHIDS NA WADUDU WENGINE
Baada ya utoajia majani mawili hadi matatu.tumia dawa yenye kiambata cha imidacropid nacypemethrin kama farmerguard au rapid attack,attacan n.k kwa mchanganyiko wa pulizia mls 20 ml/20 l ya maji katika majani ya mimea na shina na kunyonywa na mmea Rudia tena baada ya siku 14 hadi 21

No3: KUDHIBITI WADUDU WANAOCHORA MAJANI NA KUTOBA MATUNDA
Tumia dawa za wadudu aina ya acetameprid +abermectin (Wadudu wanaochora) Pamoja na cypermethrin+profenofos (Wadudu wanaotafuna na kutoboa matikiti) acetameprid +abermectin vipimo 20-30ml/20l, cypermethrin+profenofos vipimo 40ml/20l,nyunyiza hizi kwa mpishano Rudia tena kila siku kumi hadi 14.zingatia inzi wa matunda huwa tunatumia mitengo kwani kuwaua kwa siku ni changamoto sana kwaiyo tunatumia mitego kama ukihitaji tunayo ekari moja utahitaji mitego 4.

NO4: KUDHIBITI MAGONJWA
Kipindi cha kutoka majani, maua na matunda tumia dawa yenye kiambata cha thiophanate na methyl ya unga.matumizi changanya 50gram/20l sawa na vijiko vitano vya chakula pulizia kila siku 14 . iwapo kutakuwa na tishio la mabaka meusi katika majani dawa yenye kiambata cha propineb na metalaxyl 50g/20l itatumika kila siku 14 piga kwa mpisha wiki hii ukipiga hii wiki ijayo unapiga hii.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • SHAMBANI TIKITI MAJI NA MRISHO MPOTO
    SHAMBANI TIKITI MAJI NA MRISHO MPOTO
    3 года назад
  • #TBCSHAMBANI : KIFAHAMU KILIMO CHA TIKITI MAJI NA FURSA KWENYE SOKO
    #TBCSHAMBANI : KIFAHAMU KILIMO CHA TIKITI MAJI NA FURSA KWENYE SOKO
    4 года назад
  • Kilimo Bora Cha Zao la tikiti maji
    Kilimo Bora Cha Zao la tikiti maji
    6 месяцев назад
  • Война в Заливе: Кремль объявил Трампа врагом — теперь всё зависит от Ирана/№1105/ Юрий Швец
    Война в Заливе: Кремль объявил Трампа врагом — теперь всё зависит от Ирана/№1105/ Юрий Швец
    7 часов назад
  • ⚡️Началось!Китай ПОПЕР ПРОТИВ Ирана. Жесткий УЛЬТИМАТУМ Пекина Тегерану. Трамп ДОЖАЛ Сенат@МирВранья
    ⚡️Началось!Китай ПОПЕР ПРОТИВ Ирана. Жесткий УЛЬТИМАТУМ Пекина Тегерану. Трамп ДОЖАЛ Сенат@МирВранья
    11 часов назад
  • #SHAMBANI: KILIMO CHA PAPAI
    #SHAMBANI: KILIMO CHA PAPAI
    5 лет назад
  • притворился БЕЗДОМНЫМ и сыграл на ДВУХ ГИТАРАХ СРАЗУ и ШОКИРОВАЛ ЛЮДЕЙ
    притворился БЕЗДОМНЫМ и сыграл на ДВУХ ГИТАРАХ СРАЗУ и ШОКИРОВАЛ ЛЮДЕЙ
    12 часов назад
  • kilimo cha matikiti maji stage 2 kangetakilimo
    kilimo cha matikiti maji stage 2 kangetakilimo
    7 лет назад
  • Kilimo cha tikiti maji.
    Kilimo cha tikiti maji.
    5 лет назад
  • JINSI YA PRUNE MATIKITI MAJI STAGE 7 KILIMO CHA MATIKITI MAJI
    JINSI YA PRUNE MATIKITI MAJI STAGE 7 KILIMO CHA MATIKITI MAJI
    7 лет назад
  • HATUA ZA MWANZO ZA UPANDAJI WA TIKITI MAJI
    HATUA ZA MWANZO ZA UPANDAJI WA TIKITI MAJI
    9 лет назад
  • KILIMO CHA NYANYA:-KUSIA,KUPANDA MBEGU,MBEGU ZA NYANYA,WADUDU NA MAGONJWA YA NYANYA,
    KILIMO CHA NYANYA:-KUSIA,KUPANDA MBEGU,MBEGU ZA NYANYA,WADUDU NA MAGONJWA YA NYANYA,
    7 лет назад
  • KILIMO CHA TIKITI MAJI TABORA (SIKU YA 30 BAADA YA KUPANDA)
    KILIMO CHA TIKITI MAJI TABORA (SIKU YA 30 BAADA YA KUPANDA)
    9 лет назад
  • KANTANGAZE UGONJWA WA NYANYA UNAODHIBITIWA NA MBEGU CHOTARA ZA IMARA
    KANTANGAZE UGONJWA WA NYANYA UNAODHIBITIWA NA MBEGU CHOTARA ZA IMARA
    7 лет назад
  • kilimo cha matikiti hatua ya pili mkuranga kangeta kilimo(pruning watermelon)
    kilimo cha matikiti hatua ya pili mkuranga kangeta kilimo(pruning watermelon)
    6 лет назад
  • KILIMO CHA TIKITI MAJI- Kinavyotajirisha Wakulima wa Kanda ya Ziwa
    KILIMO CHA TIKITI MAJI- Kinavyotajirisha Wakulima wa Kanda ya Ziwa
    7 лет назад
  • KILIMO CHA TIKITI BILA MVUA KIKO HIVI
    KILIMO CHA TIKITI BILA MVUA KIKO HIVI
    3 года назад
  • Суперурожайные огурцы корейской селекции Аваланж F1, Авенсис F1 и Арктика F1
    Суперурожайные огурцы корейской селекции Аваланж F1, Авенсис F1 и Арктика F1
    7 лет назад
  • Shamba darasa kilimo Cha matikiti maji kibaha
    Shamba darasa kilimo Cha matikiti maji kibaha
    7 лет назад
  • теперь только пленка вместо Пкарбоната ,смотри почему )про фундамент парника и автоматику
    теперь только пленка вместо Пкарбоната ,смотри почему )про фундамент парника и автоматику
    2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com