Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga|

  • Shamba Darasa TV
  • 2022-09-08
  • 1983
KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga|
  • ok logo

Скачать KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga|

KILIMO CHA ZUCHINI, SQUASH,COURGETTE
Zao hili hujulikana pia kwa majina mengine kama zucchini, squash au courgette. Aidha, zuchini kisayansi hujulikana kama Cucurbita pepo.
Tunda la zuchini huwa katika muonekano wa kijani cheusi kinachong’aa na kwa ndani ikiwa na rangi nyeupe na mmea una muonekano wa majani ya kijani au kijani iliyochanganyika na madoa meupe. Matunda ya zuchini hukua kwa haraka sana na yanahitajika kuanza kuvunwa ndani ya siku mbili hadi saba mara tu ua linapodondoka. Ili kupata mavuno mazuri ni muhimu kujua hali ya hewa pamoja na udongo unaofaa kwani si kila eneo hufaa kwa kilimo hiki.
MBEGU ZA ZUCCHIN
#mkulimasmart
#shambadarasa
•Haliyahewa
inayohitajikaniya baridi kidogo na joto la wastani. Joto liwenyuzi18˚Chadi30˚C rutuba ya kutosha.
Udongo
Udongo wa tifutifu hufaa zaidi kwa ajili ya kilimo hiki na hakikisha eneo halituamishi maji kwani unyevu ukizidi matunda yataoza. Matayarisho ya shamba Kama ilivyo kwa mazao mengine ni lazima kuhakikisha shamba limeandaliwa vizuri kwa kulima na kufukia magugu yote. Ikiwa rutuba ya udongo imekufa basi ni vyema kama mbolea hai itasambazwa shambani kote ndipo lilimwe juma moja kabla ya kuotesha.
Juu ya matuta. •Nafasikatiyatutanatutaiweni sentimeta 150. Hii pia itasaidia kuwepo kwa nafasi ya kutosha kwa ajili ya maji Zao la zuchini linapotunzwa vizuri mkulima huwa na uhakika wa mavuno kwa mda mrefu. wakati wa kumwagilia. Mbolea ya kupandia
Ni vyema kuandaa mbolea ya mboji kwa ajili ya kupandia. Hii itatumika kuweka katika kila shimo wakati wa kuotesha na kwa kila shimo, weka mbolea kiasi cha gramu 100 au kiganja kimoja kilichojaa.
Namna ya kuotesha
Zuchini inaweza kusiwa japo ni vyema zaidi kama itaoteshwa moja kwa moja shambani.
mistari 3.
•Nafasikatiyamstarinamstariiwe sentimeta 40 na kati ya mche na mche iwe sentimeta 20.
•Pigamashimonawekamboleaya mboji kisha weka mbegu na fukia.
•Baadayasiku 7 mbegu itachipua. Umwagiliaji Mwagilia zao hili kila wiki mara moja au mara mbili ikiwa ardhi ni kame sana. Kama kuna kiasi cha mvua basi hakuna haja ya kuweka maji.
Uangalizi na usafi wa shamba
Hakikisha unazungukia shamba kila wakati, angalau mara tatu kwa siku (asubuhi, mchana na jioni) ili kujua ni mabadiliko gani yameweza kujitokeza katika mazao yako na kujua namna ya kukabiliana nayo mapema. Ni muhimu kusafisha shamba mara tu unapoona magugu yameanza kujitokeza. Hii itasaidi kuzuia wadudu kuzaliana katika majani na kushambulia mazao. Magonjwa na wadudu Zao hili hushambuliwa na magonjwa kama


Kilimo cha Zucchini: Wakulima wafaidu kilimo cha Zucchini




Kilimo Cha mabogalishe (butternut squash)


kilimo bora cha butternut squash kangeta kilimo




ZUCHINI, SQUASH,COURGETTE Zao hili... -
Udongo wa tifutifu hufaa zaidi kwa ajili ya kilimo hiki na hakikisha eneo halituamishi ... weka mbolea kiasi cha gramu 100 au kiganja kimoja kilichojaa.


Mapato ya haraka katika zao la 'zucchini' yatakufanya urudie
hushusha kiwango cha sukari mwilini hasa kwa wanaougua Kisukari,” ... Bw Peter Mugo anayefanya kilimo hiki katika Kaunti ya Kajiado ...


Zucchini: bora nje aina. Maelezo na tabia ya kilimo cha


Maelezo na tabia ya kilimo cha aina. Makala hii italenga mboga inayoitwa zucchini. bora nje aina, hasa kulima asili, na pia baadhi ya maelekezo rahisi kwa ...


⋆ Sheria za kukua zucchini


Kitanda cha zukini kinapaswa kuangazwa vizuri na kutayarishwa (udongo umefunguliwa, ... Teknolojia ya kilimo ya kukua zucchini inahusisha hatua za msingi za ...


Kilimo cha zucchini katika udongo wazi: posho kwa wakulima
Kilimo cha zucchini katika udongo wazi: posho kwa wakulima wa mwanzoni. Kuandaa vitanda kutoka kwa maandalizi ya vitanda chini ya zukchini spring.


Zucchini jinsi ya kupanda na wakati. Kupanda zukini na
Zucchini inaweza kuitwa mboga inayopendwa zaidi kati ya wapishi na bustani. Unyenyekevu wa tamaduni hii hufanya kilimo chake kuwa cha bei nafuu hata kati ya ...


Siri za Mavuno. Kilimo cha zucchini katika udongo wazihttps://tues.ru › vyrashchivanie-kaba...
·


Wafuasi kilimo cha kikaboni Inaweza kukua zucchini kwenye vitanda vya mbolea, ambavyo vinafanywa kutoka kwa mabaki ya mmea kavu (shaba ya viazi ni bora) na ...


Biashara ya boga. Kupanda zukini kama biasharahttps://tues.ru › kabachkovaya-kom...


Zucchini ni kawaida sana katika kupikia, kwa sababu ni bidhaa ya lishe. ... Hizi ni vifaa vya kulima, kuvuruga ardhi, kilimo cha majani, kupanda na kuvuna:.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA NYUMBANI KWA KUTUMIA MAKOPO,MAGUNIA,MATAHILI NA VIROBA
    KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA NYUMBANI KWA KUTUMIA MAKOPO,MAGUNIA,MATAHILI NA VIROBA
    3 года назад
  • Выращивание кабачков дома в контейнере — большие, длинные плоды — дневник от 1 до 72 дней
    Выращивание кабачков дома в контейнере — большие, длинные плоды — дневник от 1 до 72 дней
    3 года назад
  • Премьер-министр ликвидирован? / Немецкие военные атакованы
    Премьер-министр ликвидирован? / Немецкие военные атакованы
    11 часов назад
  • Focus on Butternut Farming | Kilimo na Biashara
    Focus on Butternut Farming | Kilimo na Biashara
    3 года назад
  • 5 ОСНОВНЫХ преимуществ вертикальной выращивания кабачков и цуккини | Я никогда не вернусь назад!|
    5 ОСНОВНЫХ преимуществ вертикальной выращивания кабачков и цуккини | Я никогда не вернусь назад!|
    3 года назад
  • Что происходит внутри Ирана? | Варламов — о последствиях войны США и Израиля против Ирана
    Что происходит внутри Ирана? | Варламов — о последствиях войны США и Израиля против Ирана
    15 часов назад
  • Kilimo cha Malenge/ Pumpkin Farming in Kenya Part B || AKILI SHAMBANI
    Kilimo cha Malenge/ Pumpkin Farming in Kenya Part B || AKILI SHAMBANI
    2 года назад
  • Иран бомбит дипмиссии США, ранены десятки американских солдат, бомбят Дубай
    Иран бомбит дипмиссии США, ранены десятки американских солдат, бомбят Дубай
    2 часа назад
  • Kilimo na Biashara | Courgette farming
    Kilimo na Biashara | Courgette farming
    4 года назад
  • Полный запрет VPN и другие НОВЫЕ ЗАКОНЫ, которые ИЗМЕНЯТ ЖИЗНЬ РОССИЯН!
    Полный запрет VPN и другие НОВЫЕ ЗАКОНЫ, которые ИЗМЕНЯТ ЖИЗНЬ РОССИЯН!
    13 часов назад
  • cara menanam zucchini dari benih sampai panen || how to grow zucchini from seed to harvest
    cara menanam zucchini dari benih sampai panen || how to grow zucchini from seed to harvest
    3 года назад
  • ‼️Прорыв ВСУ: Украина вернула территории. США готовят самую мощную атаку на Иран / Выпуск новостей
    ‼️Прорыв ВСУ: Украина вернула территории. США готовят самую мощную атаку на Иран / Выпуск новостей
    Трансляция закончилась 11 часов назад
  • Бесконечный Белок в Обычном Ведре? Без Земли и Солнца. Настройка за 5 Минут.
    Бесконечный Белок в Обычном Ведре? Без Земли и Солнца. Настройка за 5 Минут.
    13 дней назад
  • Kilimo cha viazi lishe Kishapu-Shinyanga
    Kilimo cha viazi lishe Kishapu-Shinyanga
    4 года назад
  • KILIMO CHA BOGA LISHE KIBIASHARA
    KILIMO CHA BOGA LISHE KIBIASHARA
    1 год назад
  • 🔴 СРОЧНО США ГОТОВЯТ САМЫЙ МОЩНЫЙ УДАР ПО ИРАНУ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО США ГОТОВЯТ САМЫЙ МОЩНЫЙ УДАР ПО ИРАНУ #новости #одиндень
    10 часов назад
  • Growing potatoes in soil bags. Will help you not have to spend money on buying potatoes anymore
    Growing potatoes in soil bags. Will help you not have to spend money on buying potatoes anymore
    1 год назад
  • Как мы уничтожили квашеную капусту
    Как мы уничтожили квашеную капусту
    2 дня назад
  • KILIMO BORA CHA MABOGA
    KILIMO BORA CHA MABOGA
    5 лет назад
  • Kilimo cha Zucchini: Wakulima wafaidu kilimo cha Zucchini
    Kilimo cha Zucchini: Wakulima wafaidu kilimo cha Zucchini
    4 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com