BINTI SONIA - MAPENZI NA MAISHA YALIVYOMTESA MREMBO SONIA

Описание к видео BINTI SONIA - MAPENZI NA MAISHA YALIVYOMTESA MREMBO SONIA

Baada ya mwaka mmoja alimuondoa dada wa kazi kwakusema Hana sababu ya kuajili mtu wakati Mimi nipo,😓
Kumbuka hata shule hajanipeleka.
hivyo nikawa mtu was kazi tu nakumbuka wakati nakuja pale hawakuwa wamelima mboga mboga Ila baada ya dada kuondoka aliniambia natakiwa kulima mboga mboga na kila. Nywele zikikuwa kidogo tu napigwa kipala ........😭😭

Комментарии

Информация по комментариям в разработке