MILIONI 60 KUKAMILISHA UJENZI WA SHULE SHIKIZI MISISI, WANANCHI WAFURAHIA WAMPA ZAWADI DC BUSWELU.

Описание к видео MILIONI 60 KUKAMILISHA UJENZI WA SHULE SHIKIZI MISISI, WANANCHI WAFURAHIA WAMPA ZAWADI DC BUSWELU.

Serikali imeahidi kukamilisha ujenzi na usajili wa Shule Shikizi ya Msingi ya Misisi iliyopo katika Kitongoji cha Misisi, Kijiji cha Kasekese, Kata ya Kasekese wilayani Tanganyika.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке