Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA

  • ViwandaBiashara TV
  • 2022-01-21
  • 2725
KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA
  • ok logo

Скачать KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (Mb) amesema Serikali imeanzisha Kongani ya Viwanda Dodoma itakayokuwa na viwanda vitakavyotumia malighafi zinazozalishwa hapa nchini, ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya   Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika uanzishaji wa kongani za viwanda.

Dkt Kijaji ameyasema hayo katika Hafla fupi ya makabidhiano ya eneo maalum la uwekezaji (SEZ) lenye ukubwa wa hekari 1500 katika eneo la viwanda Nala lililotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji na Mauzo ya Nje (EPZA), iliyofanyika jijini Dodoma Januari 20, 2022.

"Kongani hii  itumike kuhudumia Kanda ya kati kwa kuwa na  viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo hususan Alizeti inayolimwa Dodoma, Singida na Simiyu ili kuwa na mafuta ya kula ya kutosha mahitaji ya ndani na  kuuza nje ya nchi na kutumia Reli ya Kisasa ya SGR kwa kusafirisha mizigo kwenda masoko ya nje ya nchi." Amesema Waziri Kijaji.

Waziri Kijaji pia amezielekeza Taasisi za EPZA na TIC kushirikiana na Sekta Binafsi pamoja na Uongozi wa Mkoa wa Dodoma ili kuhakikisha kongani hiyo inaendelezwa kwa wakati ili kutimiza malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita katika uanzishaji, uendelezaji na uwekezaji wa kongani za viwanda nchini.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Antony Mtaka amebainisha Maeneo ya EPZA yanavutia wawekezaji hivyo Ofisi yake iko tayari kushirikiana na Wizara katika kuhakikisha miundombinu muhimu kama Maji, Umeme na Barabara inapatikana ili kukamilisha ujenzi wa kongani hiyo kwa wakati na kuvutia wawekezaji  na hivyo kuleta maendeleo katika mkoa huo na kwa Taifa.

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara  Prof.Godius Kahyarara amesema ni muhimu EPZA kutenga maeneo ya kongani za kiuchumi  zenye hadhi ya kimataifa kwa kuzingatia wawekezaji wadogo zinazolenga kutoa ajira nyingi ili kutimiza Malengo ya Serikali katika kuongeza ajira na pato la Taifa.

" EPZA tengeni kongani maalum kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya uzalishaji bidhaa za ujenzi ili kutosheleza mahitaji ya vifaa hivyo nchini ili tusiwe  tunaagiza vifaa hivyo kutoka nje ya nchi. 

Awali akiongea, Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Bw. Charles Itembe amesema eneo hilo lililotengwa linatarajiwa kuwa kitivo maalumu cha uwekezaji katika nyanja mbali mbali kama vile  ununuzi,usafirishaji, kilimo, ujenzi, madinj, nguo na madawa na litatoa ajira takriban 100,000.

Naye, Afisa Mipango wa mkoa wa Dodoma amebainisha kuwa Mkoa umetenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa viwanda ambapo katika eneo la Nala hekari 2285 ambapo hadi sasa hekari 300 zimegawiwa kwa wawekezaji wa nje, 1500 kwa EPZA, na 21 kwa wawekezaji wazawa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • HECHE AKINUKISHA MARA SAKATA LA KUZUIWA BAWACHA KUSHEREHEKEA, ATINGA KESI YA KAUNYA, AFUNGUKA MAZITO
    HECHE AKINUKISHA MARA SAKATA LA KUZUIWA BAWACHA KUSHEREHEKEA, ATINGA KESI YA KAUNYA, AFUNGUKA MAZITO
    1 час назад
  • #TBC1: WEKEZA TANZANIA: SHUHUDIA UKUBWA WA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MBOLEA DODOMA
    #TBC1: WEKEZA TANZANIA: SHUHUDIA UKUBWA WA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MBOLEA DODOMA
    2 года назад
  • TAASISI ZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ZATAKIWA KUCHOCHEA UANZISHAJI WA VIWANDA NCHINI
    TAASISI ZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ZATAKIWA KUCHOCHEA UANZISHAJI WA VIWANDA NCHINI
    12 дней назад
  • Shuhudia namna Rais Samia alivyoingia Ikulu mpya ya Chamwino
    Shuhudia namna Rais Samia alivyoingia Ikulu mpya ya Chamwino
    2 года назад
  • MNARA MKUBWA AFRIKA WENYE HOTEL NDANI KUJENGWA DODOMA RAIS SAMIA AONYESHWA
    MNARA MKUBWA AFRIKA WENYE HOTEL NDANI KUJENGWA DODOMA RAIS SAMIA AONYESHWA
    2 года назад
  • UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO JIJINI DODOMA KUWANUFAIFA WAKAZI WA KATA YA DODOMA MAKULU.
    UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO JIJINI DODOMA KUWANUFAIFA WAKAZI WA KATA YA DODOMA MAKULU.
    2 года назад
  • ‼️ Иран бомбит Дубай и базы США. Россия помогает Ирану. ВСУ едут на Ближний восток / Выпуск новостей
    ‼️ Иран бомбит Дубай и базы США. Россия помогает Ирану. ВСУ едут на Ближний восток / Выпуск новостей
    Трансляция закончилась 5 часов назад
  • Waziri Bashungwa Atembelea Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa KIKOMBO DODOMA
    Waziri Bashungwa Atembelea Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa KIKOMBO DODOMA
    2 года назад
  • SERIKALI KUJENGA BANDARI KAVU DODOMA
    SERIKALI KUJENGA BANDARI KAVU DODOMA
    1 год назад
  • LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU
    LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"
    3 года назад
  • #TBCLIVE: MAENDELEO YA JIJI LA DODOMA
    #TBCLIVE: MAENDELEO YA JIJI LA DODOMA
    Трансляция закончилась 5 лет назад
  • HII ITAKUWA NI INDUSTRIAL PARK YAKWANZA AFRIKA NZIMA
    HII ITAKUWA NI INDUSTRIAL PARK YAKWANZA AFRIKA NZIMA
    3 года назад
  • Tanzania inao uwezo wa kuzalisha nondo na mabati yenye ubora kwa soko la ndani na nje
    Tanzania inao uwezo wa kuzalisha nondo na mabati yenye ubora kwa soko la ndani na nje
    2 года назад
  • Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015
    Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015
    10 лет назад
  • Müdafiə sistemləri niyə işləmədi? - Səidə Bəkirqızı ilə Üzeyir Cəfərova Bax Da
    Müdafiə sistemləri niyə işləmədi? - Səidə Bəkirqızı ilə Üzeyir Cəfərova Bax Da
    Трансляция закончилась 1 день назад
  • Uchimbaji visima eneo la uwekezaji viwanda Dodoma washika kasi || Maji yaanza kupatikana
    Uchimbaji visima eneo la uwekezaji viwanda Dodoma washika kasi || Maji yaanza kupatikana
    4 года назад
  • ԱԺ-ում շարունակվում են թեժ ելույթները․ ՈՒՂԻՂ
    ԱԺ-ում շարունակվում են թեժ ելույթները․ ՈՒՂԻՂ
    Трансляция закончилась 1 день назад
  • MKURUGENZI JIJI LA DODOMA  AFUNGUKA FURSA LUKUKI ZA UWEKEZAJI
    MKURUGENZI JIJI LA DODOMA AFUNGUKA FURSA LUKUKI ZA UWEKEZAJI
    2 года назад
  • NONDO ZA KAFULILA: DAR - DODOMA KUJENGWA BARABARA ZA KULIPIA “ULIMWENGU HAUNA HURUMA NA MTU”
    NONDO ZA KAFULILA: DAR - DODOMA KUJENGWA BARABARA ZA KULIPIA “ULIMWENGU HAUNA HURUMA NA MTU”
    2 года назад
  • "BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA IMEBEBA TASWIRA YA UCHUMI" - CHONGOLO AELEZA
    2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com