Kufuzu AFCON 2025 | Kamwe, Ibwe, Ahmed Wampigia simu Msigwa

Описание к видео Kufuzu AFCON 2025 | Kamwe, Ibwe, Ahmed Wampigia simu Msigwa

Rais Samia Suluhu Hasssan naye amewaunga mkono Yanga, Simba na Azam FC katika kuitia hamasa Taifa Stars kwenye mechi yake ya #KufuzuAFCON2025 dhidi ya Ehiopia.

Kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema Rais Samia atatoa milioni tano kwa sharti lilelile la Yanga, Simba na Azam FC ambapo ‘mzigo’ huo utatoka baada ya ushindi wa magoli matatu

Msigwa amuomba Ahmed Ally akumbushie umahiri wake wa kusoma Qur’an.

#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке