BONGO FLAVA HONORS - TID ATOA SHOW KALI | SUGU, MWANA FA WAFANYA YAO PIA

Описание к видео BONGO FLAVA HONORS - TID ATOA SHOW KALI | SUGU, MWANA FA WAFANYA YAO PIA

Mkongwe Sugu kwa kushirikiana na Alliance Française ya Dar es salaam, Tanzania wameandaa tamasha la kila mwezi la kuwaenzi wakongwe wa Bongo Flava linaloitwa Bongo Flava Honors. Mwezi February 2023 alikuwa ni Khalid Mohamed TID. Angalia Show Nzima...Mastaa wengi walitokea kushow love...Sugu mwenyewe, Mwana FA na wengine wengi walikuwepo.

#TID #bongoproject #bongoflavahonors #sugu #bongofleva


Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------

Instagram:   / bongo_project  

Facebook:   / bongo-project-102566415873260  

TikTok:   / bongoproject  

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке