Vyakula vya Wanga ni Hatari | Unaharibu Kizazi Chako| Vipimo Milioni 8

Описание к видео Vyakula vya Wanga ni Hatari | Unaharibu Kizazi Chako| Vipimo Milioni 8

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ( The Jakaya Kikwete Cardiac Institute ) iliyoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.Profesa Janabi, ambaye pia ni daktari Mkuu Binafsi wa Rais Mstafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametoa athari zitokanazo na matumizi ya chakula cha wanga kupita kiasi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке