MNYIKA AFUNGUKA KIPIGO CHA POLISI/"NILIPIGA KELELE YA KUNIUWA"/"NILIPIGWA RUNGU KWENYE GOTI"

Описание к видео MNYIKA AFUNGUKA KIPIGO CHA POLISI/"NILIPIGA KELELE YA KUNIUWA"/"NILIPIGWA RUNGU KWENYE GOTI"

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akielezea kilichomkuta jijini Mbeya dhidi ya jeshi la Polisi, wakati viongozi hao walipofika jijini humo kwa ajili ya kongamano la siku ya vijana Duniani lililopangwa kufanyika tarehe 12 Agosti 2024. kabla ya jeshi la Polisi kuzuia.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Комментарии

Информация по комментариям в разработке