VIDEO KUTOKA CHINA: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI na KUPOKEWA kwa HESHIMA HII KUBWA - BEIJING...

Описание к видео VIDEO KUTOKA CHINA: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI na KUPOKEWA kwa HESHIMA HII KUBWA - BEIJING...

VIDEO KUTOKA CHINA: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI na KUPOKEWA kwa HESHIMA HII KUBWA - BEIJING...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China.
Rais Samia amewasili nchini humo hii leo Septemba 3, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).



Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке