Simba 1-2 Yanga | Highlights | U17 Premier League 16/06/2024

Описание к видео Simba 1-2 Yanga | Highlights | U17 Premier League 16/06/2024

KARIAKOO DERBY U17: Zimetumika dakika saba pekee kufungwa magoli matatu... Simba wakitangulia dakika ya 61 kupitia kwa Athuman Idd, lakini Chitunzi Masaka akachomoa dakika ya 63, na Hamis Idd akafunga la ushindi dakika ya 67.

Ni Ligi Kuu ya Vijana U17, mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке