Wewe ni Mungu -Ester Nyanda feat Gwamaka Mwakalinga ( official music video )

Описание к видео Wewe ni Mungu -Ester Nyanda feat Gwamaka Mwakalinga ( official music video )

"Wewe ni Mungu" ni wimbo wa ibada uliokusudiwa kuibua shauku na moyo wa ibada ndani kila asikiaye,kwa kukumbushia uweza na nguvu za Mungu zisizo na mipaka katika maisha ya mwanadamu.Kiini kikubwa cha ibada ni kumtambua Mungu kama alivyo na uweza wake, na yale mengi anayoweza kufanya kwa kadri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu..Efeso 3:20

Ni maombi yangu kuwa unapomwabudu Mungu kwa wimbo huu,chemchem za ibada zifurike ndani yako na umfahamu Kristo kwa ufunuo mpya na wa tofauti zaidi
Mungu akubariki
.
.
.
Audio capturing and mixing - Justin Rider
Video mixing - Syberpic
Stage and light - Sound Solutions international
light operator - Nyakalo lights

Комментарии

Информация по комментариям в разработке