HONGERA PADRE PETER || St. Don Bosco Youth Choir ft. YCA || CTK Cathedral

Описание к видео HONGERA PADRE PETER || St. Don Bosco Youth Choir ft. YCA || CTK Cathedral

Wimbo huu ni wa kumpongeza Padre Peter Wechuli Masoni kwa Kupokea Daraja la Upadrisho katika Jimbo la Katoliki la Bungoma mnamo Tarehe 11 February, 2023. Pia ni Sala ya kumuombea heri katika Utume wake. Ni Shukrani pia kwa Mwenyezi Mungu aliyewezesha hayo yote! Wimbo huu umeimbwa na Choir ya St. Don Bosco Youth BUNGOMA
Video imejumuishwa St. Don Bosco Youth Choir na YCA (Young Catholic Adults) ambazo ni Vikundi vya Vijana ambavyo Padre Peter ameshiriki nao sana katika Safari ya Imani. Karibuni nyote Mkatazame.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке