Majina Yote Mazuri lyrics by Dedo Dieumerci ft. Naomi Mugiraneza ( nikupee jina gani)🙏🏼

Описание к видео Majina Yote Mazuri lyrics by Dedo Dieumerci ft. Naomi Mugiraneza ( nikupee jina gani)🙏🏼

Live A Life Of Contentment- https://www.digistore24.com/redir/445...
High Converting Meditation/Spirituality Offer -https://www.digistore24.com/redir/367...
365 Manifestation Power- https://www.digistore24.com/redir/378...
Swahiliwoshipmusic
majinayotemazuriniyako
majina Yote

lyrics
Bwana Mungu wa Wokovu wangu

Umenipigania Yesu!!!

Umenipigania nakuita Jehova

Nisi Bendera ya Ushindi wangu

Umenipigania!!!!!

Umenipigania nakuita Jehova

Nisi Bendera ya Ushindi wangu

Usifiiiiweee!!!

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na Nuru yangu

Wema wako wanijaza Moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena Kiongozi wa Maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na Nuru yangu

Wema wako wanijaza Moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena Kiongozi wa Maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na Nuru yangu

Wema wako wanijaza Moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena Kiongozi wa Maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Umenifanyaaaa!!

Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa

Zaidi ya yote ukanifanya kuwa Baraka

ili nami nibariki

Nimekupata wewe nami nikaridhika

Wewe ni yote ndani ya yote

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na Nuru yangu

Wema wako wanijaza Moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena Kiongozi wa Maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке