Miriam Lukindo - Higher ( Official Music Video )

Описание к видео Miriam Lukindo - Higher ( Official Music Video )

Wimbo huu wa HIGHER
Ulianza hivi

Kitabu cha Zaburi 29:10 Inasema’ BWANA AMEKETI JUU .
Lakini pia kitabu hicho hicho cha Zaburi 93:4 Inasema ‘ KUPITA SAUTI YA MAJI, KUPITA MAWIMBI YA BAHARI, BWANA ALIYE JUU NDIYE MWENYE UKUU.

Je ni nini kinawezakuwa juu ya Bwana?
Je ni maumivu unayo pitia?
Je ni hali ngumu ya maisha?
Je ni njaa?
Je ni uchi?
Je ni majibu ya madaktari?
Hakuna kinachoweza kukaa juu ya Bwana.

Wimbo huu niliupata 2019 kipindi kile dunia yote imekumbwa na sinto fahamu
Kwenye janga la cov19
Nilipokuwa nikitafakari na kuona jinsi alivyo mkuu, alivyo tutetea kwanamna ya ajabu, kwakweli Nina haki ya kumwinua juu.

Nikuombe utumie wimbo huu wa HIGHER kumtukuza Mungu hata pale unapoona giza nene, wewe utazame uzuri wa Jina lake Bwana.

Yeye amejiweka juu ya vyote
Utukufu wake na ukuu wake unapota vyote
Anastaili kupewa sifa , hatapale ambapo huoni kuwezek

Комментарии

Информация по комментариям в разработке