NJE YA ULINGO 02/07/2024 | Juma Choki na mbinu alizotumia kumpiga Nasibu Ramadhan

Описание к видео NJE YA ULINGO 02/07/2024 | Juma Choki na mbinu alizotumia kumpiga Nasibu Ramadhan

Bondia Juma Choki ndani ya kipindi cha Vitasa Njye Ulingo siku tatu baada ya kushinda pambano lake dhidi ya Nasibu Ramadhan kwenye #DarBoxingDerby

Choki akiwa na Aidan Mlimila amefunguka jinsi alivyoshinda pambano hilo na mbinu alizotumia

#VitasaNjeYaUlingo ni kila Jumanne saa 1:30 usiku #AzamSports3HD

Комментарии

Информация по комментариям в разработке