RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"

Описание к видео RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"

RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"

Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amemuhakikishia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa miradi yote inayotakiwa kutekelezwa ndani ya mkoa wake itakamilika ndani ya muda kwa sababu yeye sio mtu wa utani na atakayethubutu kumuangusha atamchukulia hatua kali.

RC Mwanri ameyasema hayo katika jukwaa la Biashara na Uwekezaji lililofanyika mkoani humo na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Majaliwa, ambapo pia amemuomba kutimiza ahadi za serikali katika kuendeleza ujenzi wa viwanda mkoani humo.

#RCMWANRI #WAZIRIMKUUMAJALIWA

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter:

www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK

Комментарии

Информация по комментариям в разработке