Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan

  • Trust the gospel ⏱️
  • 2026-01-27
  • 115
Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo  kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan
  • ok logo

Скачать Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan

Katika video hii nimeeleza kuhusu JE LAANA ZA VIZAZI NA MAAGANO ya KOO HUMFUATA ALIYE KATIKA KRISTO.

Dhambi ya urithi.    • DHAMBI: Je DHAMBI YA URITHI INAENDELEA ktk...  
Wapendwa kwanza kabisa Tujue maana ya laana na agano kabla hatuja enda Mbali.

Laana ni Hukumu itolewaje Baada ya kukosea kitu Fulani au Kuvunja Sheria Fulani. Hasa kwenye Mfumo mkuu huaribu mtiririko mzima.

MAAGANO ya kifamilia muundo wa familia unarejelea njia zinazorudiwa za wanafamilia kuingiliana, kuishi, au uzoefu wa maisha, zinazojumuisha mienendo ya uhusiano na sifa za kizazi zinazorudiwa, zote chanya (mawasiliano ya kiafya) na hasi (uraibu,umasikini, Magonjwa nk). Mifumo hii hufunzwa na kupitishwa, kuathiri maisha ya mtu binafsi.

Basi sawa kabisa Mtu asiye katika Kristo kusema kuna MAAGANO, Laana inayomfuatilia,.lakini kwa aliye KATIKA KRISTO hicho kitu Sio sawa na nimakosa Makubwa sana na unabadilisha Maana kabisa ya Yesu Kuja KWETU.
Tena haiwezekani kuwa katika MAAGANO ya ukoo arafu ukiwa katika Kristo.

Wagalatia 3:13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;

Ikiwa Kwa Adamu (Mtu mmoja ) Dhambi ilingia na kwa YESU Dhami na laana Zote zilifutwa na MAAGANO. Ya mauti na mambo Mengine Mengi. ( Warumi 5:12, 17-18
12 Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi

18 Basi tena, kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo moja la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima.

MIFUMO MIWILI.
Basi kama ukibadilisha Mfumo Hapo pia mzunguko hauwezi kuwa ule ule wa mwanzo hauwezi kuchuma mapera kwenye Muembe Wala zabibu kwenye Mgomba.
YEREMIA 31:29-34… Yeremia 31:29-33
29 Siku zile, hawatasema tena, Baba za watu wamekula zabibu kali, na meno ya watoto wao yametiwa ganzi.

30 Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe; kila mtu alaye zabibu kali, meno yake yatatiwa ganzi.

31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.

32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana.

33 Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile, asema Bwana; Nitatia sheria yangu ndani yao, na katika mioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

   • DHAMBI: Je DHAMBI YA URITHI INAENDELEA ktk...  
Upya .
Ezekiel anazungumzia pia jambo hili juu ya Agano Jipya na Mfumo mpyaa wa kuto kuchukua Uovu wa Baba yake.
Ezekieli 18:2, 4-5
2 Je! Maana yake ni nini hata mkatumia mithali hii katika Israeli, mkisema, Baba wamekula zabibu mbichi, nao watoto wakatiwa ganzi la meno?

4 Tazama, roho zote ni mali yangu; kama vile roho ya baba ni mali yangu, ndivyo ilivyo roho ya mwana mali yangu; roho ile itendayo dhambi itakufa.

5 Bali kama mtu ni mwenye haki, na kuyatenda yaliyo halali na haki;

KUZALIWA MARA YA PILI.
Basi Mtu anapo zaliwa mara ya Pili yaani kufa arafu ukazaliwa upya Basi Hapo hakuna Tena laana maana tunakuwa wana. 1 John 3:1-2.

1 Yohana 3:1-2
1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.

2 Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo.

So tunakuwa tumezaliwa katika KRISTO na Damu yetu na DNA inasoma YESU. Hapo Anza kujiuliza Maswali kama umemuamini kristo unayosema ni MAAGANO ya ukoo na Familia je Niya kwa MUNGU. Soma Galatia 5:22-24.

Neno kanisa limetokana na Neno Ekklesia maana yake ( ek out (kutoka) kaleo ( kuitwa) maana yake ni Wale walio itwa kutoka kwenye kundi Fulani na hapa wokovu nikuwa tunaitwa kutoka katika Ule mnyororo wa Asili na kuumbwa upya.

Muito wa kwanza ukitoka kwa Abraham Mwanzo 12.. kutoka kwa familia yake na Baba zake. Hivyo hauitaji Kupingana na MAAGANO ya Familia Yako ila nikitoka kati Yako nako ni kwakumuamini YESU.

Mfano wa Ruthu alikuwa ni (mmoabi ) ambayo Hapo wa Moabu kwenye Kumbukumbu la Torati 23:3 Anasema Mungu “Mwamoni wala Mmoabi wasiingie katika mkutano wa Bwana; wala hata kizazi cha kumi mtu wao asiingie katika mkutano wa Bwana milele;”. Hivyo ilikuwa ni laana kwake.

Ruthu Tunaona anamwambia Naomi ma mkwe kuwa Ruthu 1:16-17
16 Naye Ruthuu akasema, Usinisihi nikuache, Nirejee nisifuatane nawe; Maana wewe uendako nitakwenda, Na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu;
Maneno yale yale MUNGU alimwambia Na Abraham kwenye Mwanzo 17. Nitakuwa MUNGU wako.

Ruthu anaingia Kwenye Baraka Kwa kuolewa na Boazi na Wafalme wote wanatoka kwake Haya na Ile laana ya Wamoabi haimfuati Tena.
#yesu #mungu #2026

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Jina la MUNGU ni YESU Yohana 17:11-12. Maana yake YESU ni Mungu.!! Mwl.Bryan #ibadahonline #2026
    Jina la MUNGU ni YESU Yohana 17:11-12. Maana yake YESU ni Mungu.!! Mwl.Bryan #ibadahonline #2026
    1 месяц назад
  • Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan #2026
    Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan #2026
    6 дней назад
  • Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name
    Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name
    2 недели назад
  • ⚡️ Смертельный удар по судну США || Уничтожены два F-16
    ⚡️ Смертельный удар по судну США || Уничтожены два F-16
    13 часов назад
  • MAMBO 10 USIYAJUA KUHUSU MFALME DAUDI
    MAMBO 10 USIYAJUA KUHUSU MFALME DAUDI
    6 месяцев назад
  • Тайная Армения в Тихом Океане. Кто построил здесь Армянские города?
    Тайная Армения в Тихом Океане. Кто построил здесь Армянские города?
    3 дня назад
  • 🔥СРОЧНО! ЕВРОПА ОТОМСТИЛА ЗА КИЕВ! ИХ ЖЕСТКО ПРИКОНЧИЛИ! ПУТИН ЛИШИЛСЯ СОЮЗНИКОВ! УКРАИНА ТРИУМФУЕТ
    🔥СРОЧНО! ЕВРОПА ОТОМСТИЛА ЗА КИЕВ! ИХ ЖЕСТКО ПРИКОНЧИЛИ! ПУТИН ЛИШИЛСЯ СОЮЗНИКОВ! УКРАИНА ТРИУМФУЕТ
    3 часа назад
  • Jak naprawdę wygląda spacer po Jerozolimie? Izrael z Aline
    Jak naprawdę wygląda spacer po Jerozolimie? Izrael z Aline
    4 часа назад
  • WHY: Kwanini YESU Alitenda miujiza, Ishara na Ajabu katika watu...? Mwl.Bryan #ibadahonline
    WHY: Kwanini YESU Alitenda miujiza, Ishara na Ajabu katika watu...? Mwl.Bryan #ibadahonline
    2 месяца назад
  • Agano la chumvi na Uhusiano kwa Mkristo Hesabu 18:19 Mwl.Bryan #2026
    Agano la chumvi na Uhusiano kwa Mkristo Hesabu 18:19 Mwl.Bryan #2026
    4 дня назад
  • СТАРОСТИ БОЛЬШЕ НЕТ! Японская формула долголетия теперь доступна всем | ПОДРОБНОЕ ОБЪЯСНЕНИЕ
    СТАРОСТИ БОЛЬШЕ НЕТ! Японская формула долголетия теперь доступна всем | ПОДРОБНОЕ ОБЪЯСНЕНИЕ
    3 часа назад
  • USOMAJI WA BIBLIA UTAKAOKUPA MANUFAA KULIKO KAWAIDA
    USOMAJI WA BIBLIA UTAKAOKUPA MANUFAA KULIKO KAWAIDA
    6 месяцев назад
  • ISHARA 2 ZA KURUDI KWA YESU MARA YA PILI
    ISHARA 2 ZA KURUDI KWA YESU MARA YA PILI
    2 года назад
  • MUNGU Hajibu kwa KUWAZA kwako (Mawazo) ila kwa KUFANYA kwako (Matendo).! #2025
    MUNGU Hajibu kwa KUWAZA kwako (Mawazo) ila kwa KUFANYA kwako (Matendo).! #2025
    1 год назад
  • MAAJABU (8) ambayo hutokea ukiwa Mtu wa kumkumbuku na kutafakari kilasiku. Mwl.Bryan #ibadahonline
    MAAJABU (8) ambayo hutokea ukiwa Mtu wa kumkumbuku na kutafakari kilasiku. Mwl.Bryan #ibadahonline
    1 месяц назад
  • Я Исследовал Каждого Скрытого Бога в Библии...
    Я Исследовал Каждого Скрытого Бога в Библии...
    12 дней назад
  • MAMBO (10) USIYO YAJUA KUHUSU KRISMASI na UPAGANI. Mwl.Bryan #ibadahonline #christmas
    MAMBO (10) USIYO YAJUA KUHUSU KRISMASI na UPAGANI. Mwl.Bryan #ibadahonline #christmas
    2 месяца назад
  • DORE IMPAMVU WIYIRIZA UBUSA,  IMANA NTIKUMVE NICYATUMA IKUMVA🤔🔥
    DORE IMPAMVU WIYIRIZA UBUSA, IMANA NTIKUMVE NICYATUMA IKUMVA🤔🔥
    6 дней назад
  • ПОЛНАЯ История Библии за 30 Минут — Поймите ОКОНЧАТЕЛЬНЫЙ План Бога
    ПОЛНАЯ История Библии за 30 Минут — Поймите ОКОНЧАТЕЛЬНЫЙ План Бога
    2 месяца назад
  • Maombi, Tumaini na Uponyaji Ndani ya Kristo | Ibada ya Mtandaoni
    Maombi, Tumaini na Uponyaji Ndani ya Kristo | Ibada ya Mtandaoni
    1 месяц назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com