AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4

Описание к видео AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4

Tumeendelea mazungumzo na Afande Sele. Anazungumzia maisha yake ya bush, uhusiano na wasanii wenzake wakongwe, siasa, na mengine mengi. Usikose hii

#afandesele #bongofleva #bongoproject #morogoro

Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
https://bongoproject.org/

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------

Instagram:   / bongo_project  

Facebook:   / bongo-project-102566415873260  

TikTok:   / bongoproject  

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке