Polisi watafuta mshukiwa wa mauaji ya Eastleigh

Описание к видео Polisi watafuta mshukiwa wa mauaji ya Eastleigh

Polisi kufikia sasa wamewahoji watu wanne kuhusiana na mauwaji ya kutisha ya mama na binti wawili mtaani Eastleigh. Miongoni mwa waliohojiwa ni mpangaji wa nyumba alikoaminika kuishi mshukiwa mkuu wa mauwaji ambaye ameanika kutorokea nchini Somalia alikonaswa eneo la Dhobley.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке