JIFUNZE KUSOMA DARASA LA KWANZA.

Описание к видео JIFUNZE KUSOMA DARASA LA KWANZA.

Kujua kusoma na kuandika ni hatua moja nzuri kwa mtoto yeyote anapokuwa darasa la kwanza.Kujua kusoma na kuandika ni matokeo ya juhudi za mtoto,mzazi/mlez,mwalimu,na mazingira yanayomuzunguka.
kusoma na kuandika huenda kwa hatua moja baada ya nyingine,mara nyingi mtoto hufundishwa kwanza vitu vilivyorahisi kwanza na kuvirudia mara kwa mara kuandika na kuvisoma hata kwa nyimbo mbalimbali.
Katika hatua ya kusoma na kuandika mwalimu inapaswa awe karibu na mwanafunzi na kujua vitu ambavyo mtoto anaweza na udhaifu wa mtoto.
Hivyo kumfundisha mtoto mdogo ni sambamba na kumfanya apende shule

Комментарии

Информация по комментариям в разработке