KUA NA MZUNGU SIO KUPATA MAISHA | UZURI WAKO HAUTAKUPATIA MZUNGU| UMRI USIKUKATISHE TAMAA KUA MPWEKE

Описание к видео KUA NA MZUNGU SIO KUPATA MAISHA | UZURI WAKO HAUTAKUPATIA MZUNGU| UMRI USIKUKATISHE TAMAA KUA MPWEKE

Devota Chuwa ameeleza safari yake ya maisha kutoka Tanzania mpaka Sweden.
Ameeleza changamoto za ulezi, na sio kila Mzungu atakupatia maisha mazuri, anakwambia kuna wazungu wanaweza kuja kwenye maisha yako kuyaharibu kabisa.

Amewaasa wanawake kua makini juu ya machaguzi yao na kutojikatia namaa.
Amekupaga na mwenza wake kupitia online dating na ameeleza umuhimu wa online dating.

Instagram yake ni Devota_Chuwa

Thank you Devota for allowing this to be online


www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке