NANI NILIYEMDHURUMU : ASKOFU ZACHARY KAKOBE:

Описание к видео NANI NILIYEMDHURUMU : ASKOFU ZACHARY KAKOBE:

Maisha ya mtumishi wa Mungu ni ya msingi sana kuyachunguza. Yesu akasema Mwanafunzi hampiti mwalimu wake ila akihitimu hulingana na mwalimu huyo. Luka 6;40 tena kiongozi akishindwa kwa upofu wake na kuingia shimoni mlio nyuma yake bila kujali mnaona au la, maadam mnaongozwa na huyo kipofu wote ni katika shimo la Jehanam ya moto Mathayo 15;14.
Usipuuze kwa chochote anachosemewa kiongozi wako kiroho. Fuatilia ukweli kuhusu hayo kisha chukua hatua. kama yana ukweli na hayafai kuwa kielelezo achana na kiongozi huyo ila kama ni kielelezo cha maisha ya usafi na utakatifu simama pamoja naye katika yote anayonenewa na mwisho utavuna pamoja naye.
fuatilia maisha ya Mtumishi huyu wa Mungu uone kisha chukua hatua. Mungu akubariki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке