Obama afunguka Bungeni, Mpango kutangaza kugombea Buhigwe

Описание к видео Obama afunguka Bungeni, Mpango kutangaza kugombea Buhigwe

MBUNGE wa Jimbo la Buhigwe, Albert Obama ameeleza namna wananchi wa jimbo hilo wanavyomtambua hivyo haofii lolote kwa mtu anaetaka kwenda kugombea nae katika jimbo hilo na kusema hilo ni sawa na mtu masikini kwenda kushindana kuoa na mtu maarufu na mwenye pesa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке