Umuhimu wa ndoa || Sheikh Mselem Ally

Описание к видео Umuhimu wa ndoa || Sheikh Mselem Ally

Umuhimu wa ndoa Sheikh Mselem Ally
‪@jiongezeemaarifa1496‬

"Mwenye kuoa kwa hakika ameshahifadhi nusu ya dini yake basi amche Allah (S.W) kwa nusu iliyobaki"

Oa ndugu uonje starehe ya kweli ya dunia, Mtume Mtukufu (S.A.W) Amesema "Dunia ni starehe na starehe iliyobora zaidi katika hiyo dunia ni kuoa MWANAMKE MWEMA"

Mwanamke mwema Mtume (S.A.W) Anamueleza katika Hadithi nyengine kuwa ni Yule ambae "Ukimuangalia anakufurahisha, ukimuamrisha anakutii na ukiwa mbali nae anakuhifadhia heshima yako kwa kujihifadhi yeye mwenyewe na kukuhifadhia mali na watoto wako"

Комментарии

Информация по комментариям в разработке