Kampuni inayotumia funza kutengeneza chakula cha mifugo na mbolea Tanzania

Описание к видео Kampuni inayotumia funza kutengeneza chakula cha mifugo na mbolea Tanzania

Kampuni ya Biobuu iliyoko nchini Tanzania imekuwa ikitumia takataka kuwalisha funza/nzi ambao baadaye wanageuzwa kuwa chakula cha mifugo na mbolea. Haya ni makala ya Teknolojia Janja kutoka kitengo cha BBC Biashara

Комментарии

Информация по комментариям в разработке