WEDNESDAY NIGHT LIVE 27/12/2023 | Chungu tamu za Baraka Mpenja, alitaka kuacha kazi Azam TV

Описание к видео WEDNESDAY NIGHT LIVE 27/12/2023 | Chungu tamu za Baraka Mpenja, alitaka kuacha kazi Azam TV

Mtangazaji kinara wa kandanda nchini Baraka Adson Mpenja 'Mwamba wa Umalila' amefunguka mikasa aliyowahi kukumbana nayo katika majukumu yake ya utangazaji kiasi cha kufikia maamuzi ya kuacha kazi.

Amtaja mtangazaji Patrick Nyembera ambaye alimzuia getini wakati akiondoka ofisi za Azam TV, Tabata Dar es Salaam.

Ajibu swali la kama bado yupo Azam au ameacha kazi?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке