The Dark: PASCAL KASSIAN WA BSS: NIMEPONA ILA NIMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME, MKE WANGU AMEVUMILIA ILA...

Описание к видео The Dark: PASCAL KASSIAN WA BSS: NIMEPONA ILA NIMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME, MKE WANGU AMEVUMILIA ILA...

#TheDarkNaBongo5 #bongo5updates Mshindi wa BSS mwaka 2009, Pascal Kassian amefunguka mazito ikiwa ni mwaka mmoja toka arudi Dar Es Salaam akitokea India kwaajili ya matibabu baada ya kupata ajali ya gari .

Gharama hiyo ya matibabu iligharamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda baada ya kukaa muda mrefu bila msaada.

Akizungumza na BongoTV wiki hii, Pascal amesema anamshukuru Mungu amepona kabisa ingawa nguvu zake za kiume zimeshindwa kurudi hivyo anashindwa kumpatia haki mke wake wa ndoa.

Amesema hali hiyo amejaribu kujitibu toka mwaka jana lakini bado mambo hayajakaa vizuri huku akimwagia sifa mke wake kwa kumvumilia katika kipindi hicho chote.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке