AFYA YA AKILI, VIJANA NA MAHUSIANO⚠️‼️💡

Описание к видео AFYA YA AKILI, VIJANA NA MAHUSIANO⚠️‼️💡

Vijana ni kundi linaloangaliwa na kuandamwa na vitu vingi sana ukilinganisha na makundi mengine. Umewahi kujiuliza kwa nini??!


Jiunge nami‪@CharlotteBliss07‬ coach na mtaalamu wa matibabu ya kitabia(Behavioral Therapist) katika mazungumzo yaliyojaa elimu juu ta huzuni/stress na mahusiano katika mwingilio Mzima wa Afya ya akili na vipi kujikwamua kama vijana.

Shukrani za pekee kwa @255guest kwa kunialika, kuandaa na kufanikisha interview hii.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке