Eliud Samweli na stori zake za kitambo - Uziduzi CHEKA Plus TV

Описание к видео Eliud Samweli na stori zake za kitambo - Uziduzi CHEKA Plus TV

UZINDUZI WA @chekaplustv CH 414: Kutoka jiji la kijani Mbeya, @eliudsamwel kama kawaida hakuwaacha watu salama, ni 'full' vicheko hadi anashuka kwenye jukwaa la tabasamu 414, Cheka Plus TV inayopatikana kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV na #AzamTVMaxApp

Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 @utvtz

#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #azamtvburudanikwawote

Комментарии

Информация по комментариям в разработке