USO KWA USO MNYIKA, NCHIMBI NA LISSU JUKWAANI

Описание к видео USO KWA USO MNYIKA, NCHIMBI NA LISSU JUKWAANI

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu wakizungumza katika Kilele cha Kongamano la 5 la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki, linalofanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024.

Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda.
Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке