MATONYA - Full Interview na Bongo Project

Описание к видео MATONYA - Full Interview na Bongo Project

Full Interview kati ya msanii Matonya na timu ya Bongo Project. Karibu kusikiliza ma kuangalia juu ya safari nzima ya muziki na maisha ya msanii Matonya. Ameimba vibao vyake pendwa humu. Usikose

#matonya #tonyambili #bongoproject #bongofleva



Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
https://bongoproject.org/

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------

Instagram:   / bongo_project  

Facebook:   / bongo-project-102566415873260  

TikTok:   / bongoproject  

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке