Mkutano wa DNC Chicago unaingia siku ya pili, Obama ahutubia

Описание к видео Mkutano wa DNC Chicago unaingia siku ya pili, Obama ahutubia

Mkutano mkuu wa Demokratik unaingia siku ya pili, Obama kuwashawishi wapiga kura kumuunga mkono Kamala Harris.

Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amesema Israel ipo tayari kusitisha vita.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari

Комментарии

Информация по комментариям в разработке