Bwana ni Mchungaji _ Gospel Brothers Tz (Official music Video)

Описание к видео Bwana ni Mchungaji _ Gospel Brothers Tz (Official music Video)

zaburi 23 :1// psalms 23
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji tulivu huniongoza, hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake,
naam nijapo pita kati ya bonde la mauti sitaogopa mabaya kwa maana wewe u pamoja nami, gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
hakika wema na fadhili zako zitanifuata siku zote za maisha yangu.

song writer: Baraka Bahini
Arrangements: Gospel brothers
audio production: Bj brand studios
video production: Bjbrand studios
@2023.
Gospelacappella
#swahilimusic
#acappella
#mzikimzuri
#sdachurch
#sda
#sda_home
#tanzaniamusic
#bwananimchungaji

Комментарии

Информация по комментариям в разработке