Maua Sama - WIVU ft. Aslay (Official Video)

Описание к видео Maua Sama - WIVU ft. Aslay (Official Video)

Song: Wivu
Artists: Maua sama ft Aslay
#MauaSama #Wivu #Aslay #Mziiki

Follow Maua Sama:
  / mauasama  
  / mauasama  
  / mauasamaofficial  

Maua Sama Bookings Info:
mauasamalive@gmail.com | maua@mauasama.co.tz
Cell/WhatsApp +255677775566

Song Lyrics:

Aslay:
Vimambo vyangu natupa kule
Sinegen’geneki nikafa bure
Kwako ni mfu msukule
Kwa baby yake piga kelele

Maua Sama:
Mi hali yangu mbona shwari baby wee
Niko jikon nasonga ugali
Uje ule baba we

Aslay:
Roho yangu safi Mungu kanipa
Ninachotaka kwa wakati na,Enjoy
Sitaki kuwa Mswati nimeridhika
Michepuko na Mwendokasi bye bye

Maua Sama:
Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam
Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam

Chorus:
Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2
Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh

Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana

Maua Sama:
Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani,
Uwe na Mimi tu ndani / uwe na mimi mwandani aii wewe
Nshakolea penzi me nipo mahabani
Sipingi sibishani we ndo wakwangu Mimi nielewee

Aslay:
Uzuri hutaki pochi, hutaki noti
Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti
Benzema Mess pasi kwa pasi mi Na wewe

Maua Sama:
Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam
Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam

Chorus:
Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2
Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh

Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке