Raila aelezea Rais Ruto alivyotaka msaada kwake

Описание к видео Raila aelezea Rais Ruto alivyotaka msaada kwake

Kinara wa azimio Raila Odinga sasa anadai kuwa Rais William Ruto alimuomba msaada kumsaidia kutafuta suluhu ya uongozi kufuatia maandamano ya vijana yaliyoshuhudiwa nchini. Raila akisema hii ndio sababu iliyomfanya kuwaruhusu wandani wake wanne kujiunga na baraza la mawaziri kumsaidia Rais Ruto. Alikuwa akizungumza alipowatembelea waathiriwa wa moto katika soko la Toi eneo la Kibra hapa Nairobi,

Комментарии

Информация по комментариям в разработке