Polisi wawatawanya wahadhiri wa vyuo vikuu waliokuwa wakiandamana jijini Nairobi

Описание к видео Polisi wawatawanya wahadhiri wa vyuo vikuu waliokuwa wakiandamana jijini Nairobi

Wahadhiri hao wanalalamikia kutotekelezwa kwa mkataba wa maelewano wa mwaka wa 2017-2021. Aidha wamekanusha madai ya waziri wa elimu kuwa wameafikiana kuhusu kurejea kazini wakisema kuwa hawawezi kutia saini mkataba ambao unawabagua baadhi yao

Комментарии

Информация по комментариям в разработке