Uzinduzi wa Vodacom e-Sim

Описание к видео Uzinduzi wa Vodacom e-Sim

Mapema leo, tumefanya uzinduzi rasmi wa line ya kidigitali, eSIM. Hii ni simkadi ya kidigitali ambayo hakuna “sim card” iliyo chapishwa.
Uzinduzi huu uliongozwa na Mkuu wa Biashara wa Vodacom Plc, Bi. Linda Riwa pamoja na Mkurugenzi wa Vodacom Business, Bw. Arjun Dhillon.

Piga *# 06# Kucheki kama simu yako ina namba ya EID inayosapoti eSIM. Tembelea maduka ya Vodacom nchi nzima kuunganishwa. Vigezo na masharti kuzingatiwa
#ZaidiyaMtandao #vodacomtanzania #𝐕𝐎𝐃𝐀𝐞𝐒𝐈𝐌

Комментарии

Информация по комментариям в разработке