Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Nairobi

Описание к видео Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Nairobi

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walikutana Nairobi na kuidhinisha azma ya aliyekuwa Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari

#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке