AIC Chang'ombe Choir (CVC) - TUMETUMWA (Official Live Video)

Описание к видео AIC Chang'ombe Choir (CVC) - TUMETUMWA (Official Live Video)

#,TUMETUMWA ni wimbo wa Nane katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, katika changamoto zozote usikate tamaa maana MUNGU yuko pamoja nawe. MUNGU AKUBARIKI.

LYRICS
BWANA MUNGU
mwenye huruma
Ametupa, kumjua
Zaidi na Zaidi
Ametutuma kuitenda kazi yake
Kwa moyo wa kupenda

(Tumetumwa na MUNGU)
Ayeeh..Tumetumwa, (Tumetumwa na MUNGU)
Yelele iyelele (Tumetumwa na MUNGU)

Ujumbe tumetumwa
Ujumbe tumeagizwa
Tuangalie mbele
(Tuangalie mbele)
Tusigeuke nyuma
Tusiwe kama mke wa ruthu
Aliangalia nyuma
Kawa nguzo ya chumvi

(Tumetumwa na MUNGU)Ooooh
Yelele iyelele (Tumetumwa na MUNGU

Hatakama tunakatishwa tamaa
Bado tupo na tutaendelea tu
Msaada wetu sisi ni MUNGU
Mwenye uweza
(uweza,uweza)
Yeye ndiye aliyeanzisha vyote
Vilivyomo mbinguni na duniani
Yeye ndiye aliye anzisha vyote
Mwenye uweza
(uweza,uweza)

Furaha tuliyo nayo aielezeki
(Furaha tuliyo nayo aielezeki)

Ujasiri wetu ndiyo furaha yetu
Kumjua MUNGU ndiyo maisha yetu
Tumetumwa na MUNGU
Tumetumwa na BABA
(Tumetumwa na MUNGU kusema haya)

Tumetumwa kusema kweli
Kwamba MUNGU ndiye BWANA na mwokozi wetu
Tumetumwa na MUNGU
(Tumetumwa na MUNGU kusema haya)

Majira haya ni ya kumsikiliza MUNGU
Tusikilize ujumbe
Anavyotuagiza
Neno la MUNGU
La tueleza
La tueleza
(Kwamba tuko siku za mwisho)
Kwamba tuko siku za mwisho)

(Tumetumwa na MUNGU)


Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje

CREDITS.
Song writer - Barthrolomew Magulu
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)

MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)

Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Комментарии

Информация по комментариям в разработке