Rich Mbilinyi DUNIA IMEHARIBIKA

Описание к видео Rich Mbilinyi DUNIA IMEHARIBIKA

Maisha ya sasa ni tofauti na yalivyokuwa zamani. na kadri siku zinavyozidi kwenda maisha yanazidi kubadilika na kubeba mabaya mengi yasiyopendeza usoni pa Mungu wetu. Dunia imeharibika. tuzidi kuwaombea watoto wetu na vizazi vinavyokuja. Amen

Комментарии

Информация по комментариям в разработке