David Josephat - Unani Fikiria ( Official Music Video )

Описание к видео David Josephat - Unani Fikiria ( Official Music Video )

" Fikra Ya Mungu Kwa Mwanadamu Ni Tofauti na Ile Ya Mwanadamu Kwa Mwanadamu Mwenzie, Mungu Wetu Ni Wa Rehema Na Neema .. Ayawazayo Kwaajili Yetu Hayatokani Na Usahihi Wetu Katika Yale Tuyatendayo Katika Kila Siku Za Maisha Yetu , Msingi Wa Wimbo Huu Ni Kitabu Cha
Yeremia 29:11-14


Pia Katika
Mathayo 7:11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wao wamwombao?

Mungu Anaeleza Wazi Namna Anavyofikiri Kuhusu Mwanadamu , Hii Inadhihirisha Ya Kwamba Mashaka , Wasiwasi, Na Uoga Wakuyakabiri Yale Yaliyo Nje Ya Uwezo Wetu Havina Nafasi Kwenye Maisha Yetu Kwasababu Baba Yetu Aliye Mbinguni Anawaza Na Kutufikiria Yaliyo mema Na Namna Yakutuokoa Tusipatwe Na Mabaya, Na Hatimaye Tuwe Na Tumaini Katika Siku Zetu Za Mwisho Bila Kuangalia Wingi Wa Makosa Yetu Au Kuto Stahili Kwetu
[16:24, 7/17/2024] C. E. O Ibla: Participants

Audio Production
( Studio Fisher Records)
Producer : Tazgoemi🎼
Keys: shucxy_tz🎹
Saxphone: omos_tz🎷
Lead Guitar: Benjamin Kaz🎸
Backup Singer : Becky Lyanga

Video Production
( SyberPic Film Company)
Director : Sylivester Daniel Sanga

Комментарии

Информация по комментариям в разработке