NASHEED:MAALIM SEIF DAIMA UTAISHI KATIKA NYOYO ZETU.

Описание к видео NASHEED:MAALIM SEIF DAIMA UTAISHI KATIKA NYOYO ZETU.

Inna lillahi wa innaa ilayhi rajiun, al fatah tv online/ zanzibar inachukua fursa hii kuwapa pole ndugu zetu zanzibar, wanafamilia na wanachama wote wa ACT wazalendo na tanzania kwa ujumla kwa msiba huu mzito katika taifa letu tuwe na subira katika msiba huu na sisi tulio nyuma yake Allah tupe khatma njema.
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490.

#MAALIM​ SEIF SHARIF​
#AlfatahTvOnline​​
#ZANZIBAR

Комментарии

Информация по комментариям в разработке