Jux - Bado Yupo [BETTER SESSION] (Live Session)

Описание к видео Jux - Bado Yupo [BETTER SESSION] (Live Session)

Tanzanian R&B king multi-talented musician and songwriter Jux comes through with powerful romantic song from his latest album. “The Love Album” enjoy the live experience on Better Session.

Stay Connected with Juma Jux: ​
Instagram:   / ​  
Facebook:   / ​  
Twitter:   / ​  


Stay Connected with Better Session:
Facebook:   / ​  
Twitter:   / ​  
Instagram:   / bettersess...​  
Website: https://www.bettersession.tv​

The Love Album Available Worldwide:
http://africori.to/juxthelovealbum.oyd​

Bado Yupo Lyrics:

Intro:
Mocco

Verse:
Hello, habari gani?
Hello oh ooh, unaitwa nani?
Hello, uko gizani?
Hello, kuna tatizo gani?
Basi we nieleze
Walipo kaza nilegeze
You are so beautiful baby
Hauendani na mawazo mama (Noo)

Pre-Chorus:
Huwezi kushindana na moyo wako usijiumize (aaah uuuh)
Mimi sio mbaya wako nisikilize (Nooo)

Chorus:
Bado yupo yupo kwanza (Mmmh)
Bado yupo yupo sana (Eh, yeee)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana
Kushindana na moyo wake
Bado yupo yupo kwanza (no, no)
Bado yupo yupo sana (eh, yeah)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana
Anataka awe peke yake
Bado, ah aah aah nah nah

Verse:
Hana ulinzi wa moyo tena (aaaahaa)
Wake uaminifu umekufa mazima (aaaahaa)
Mapenzi yamefanya asile
Mapenzi yamefanya asilale
Chochote nachomwambia bure
Anaona nampigia kelele
Ila eti anashukuru Mungu alipofika panatoshaa
Na tena mzigo mzito wa mapenzi ameutua amepumzika
Yaani hataki tena
Bado mapema
Hataki tena
Vurugu za mapenzi zimemchosha

Pre-Chorus:
Huwezi kushindana na moyo wako usijiumize (aaah uuuh)
Mimi sio mbaya wako nisikilize (Nooo)

Chorus:
Bado yupo yupo kwanza (Mmmh)
Bado yupo yupo sana (Eh, yeee)
Bado yupo yupo kwanza (Eh, yeee)
Bado yupo yupo sana (Badoo)
Kushindana na moyo wake
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana (Badoo)
Bado yupo yupo kwanza (Eh, yeeeiyee)
Bado yupo yupo sana
Anataka awe peke yake
Peke yake, peke yake, peke yake, peke yake


#Jux #BadoYupo #BetterSession

Комментарии

Информация по комментариям в разработке