TALITHA KUMI (OFFICIAL VIDEO) - Christ the King Cathedral Choir - Bungoma

Описание к видео TALITHA KUMI (OFFICIAL VIDEO) - Christ the King Cathedral Choir - Bungoma

Performers: Christ the King Cathedral Choir - Bungoma
Producer: Verony Productions Ltd.
Copyright ©Verony Productions Ltd.

COMPOSER: Joseph Shomaly

Yesu nifungue moyo wangu nipate kupona ,
Bwana niwekee mkono wako wa uponyaji,

Talitha kumi, talitha aaaaa {amka},
Amka binti amka, {na mimi nifufue ee Bwana},
Moyo wangu wenye shida na dhambi,
Nahitaji uponyaji. *2

1. Nahitaji uponyaji wa mwili pia roho,
Kama walioshangaa binti akafufuka,
Mungu ufanye hima, nisaidie.

2. Dhambi zinanizunguka mwili ni mdhaifu,
Nahitaji roho wako nimpinge shetani,
Mungu ufanye hima, nisaidie.

3. Maisha yangu ni wewe Yesu wangu hakika,
Bila wewe mimi bure sina cha kufikia,
Mungu ufanye hima, nisaidie.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке