HASHEEM IBWE AINGIA KWENYE 18 ZA KAMWE NA AHMED/WEWE UMETIA AIBU TAIFA/SIKU SABA LIGI YA MABINGWA

Описание к видео HASHEEM IBWE AINGIA KWENYE 18 ZA KAMWE NA AHMED/WEWE UMETIA AIBU TAIFA/SIKU SABA LIGI YA MABINGWA

Kuelekea siku ya mashindano ya Quran Tar 31/8/2024 katika Uwanja wa Benjamin mkapa Shekhe Abubakar Zuber Bin Ally, Mufti Mkuu wa Tanzania Leo hii amemtangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi siku ya mashindano hayo.

Sanjari na hilo Wasemaji wa Simba Yanga na Azam wamekuwa sehemu ya Hamasa kueleka Mashindano hayo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке