Jinsi ya Kuzuia MB zako kuisha haraka, zuia BANDO kuisha haraka..

Описание к видео Jinsi ya Kuzuia MB zako kuisha haraka, zuia BANDO kuisha haraka..

katika video hij utajifunza namna ya kuzui bando lsko kuisha haraka, au tunasema namna ya kubana matumizi ya data, au kutumia internet bila kumaliza mb zako (data) kwa haraka.

njia za za kuzuia matumizi ya bando katika simu

zuia bando kuisha haraka.
punguza matumizi ya bando
fanya Bando likae kwa muda mrefu

yaliyomo katika video:-
00:00 Utangulizi
03:56 Fuga App baada ya matumizi
04:46 Washa data saver kuokoa MB zako
05:46 Logout na futa App usizo tumia
06:24 Zima Auto-update kuzuia matumizi makubwa ya data
08:10 Setting za kupunguza matumizi katika app

Комментарии

Информация по комментариям в разработке