#BREAKING

Описание к видео #BREAKING

Helikopta iliyokuwa katika msafara wa Rais wa Iran Ebrahim Raisi inaripotiwa kwamba imehusika katika ajali muda mchache uliopita .
Hata hivyo haijafahamika iwapo Rais wa Iran Ebrahim Raisi alikuwa ndani ya helikopta hiyo ambayo vyombo vya habari vya serikali vinasema ilitua kwa shida, lakini Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi hiyo alisema waokoaji bado wanajaribu kufika eneo hilo kutokana na hali ngumu ya hewa.#Iran #IranHelicopterAccident #EbrahimRaisi#iranpresident #ebrahimraisi #breakingnews#tmcnewsupdateskimataifa #iranpresident

Комментарии

Информация по комментариям в разработке