KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI

Описание к видео KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI

Moja ya matukio muhimu ya kihistoria yaliyowahi kutokea ndani ya Zanzibar ambayo hata mtoto wa darasa la kwanza anatambua ni kifo cha Mzee Abeid Amani Karume ambaye aliuawa Aprili 7, 1972, siku ambayo sio rahisi kuisahau.
Jina lake ukamilifu ni Abeid Amani Karume. Alizaliwa Agosti 4, 1905 katika kitongoji cha Pongwe huko Mwera Wilaya ya Magharibi “A” Zanzibar.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке